Enjoy Lyrics
(It’s S2kizzy beiby)
Hii leo,
Acha tu niwaweke wazi
Mubaki na mishangao
Kuhusu haya mapenzi
Nataka kuyaeleza
Na leo,
Tena waiteni paparazzi
Warushe kwa mitandao
Siyataki mapenzi
Nataka jipongeza
Nae mwita yoh baby
Kumbe nae ana baby
Oooh unayemuona kipenzi
Ni mshenzi hakupendi
Ama kweli mtihani
Mambo mengi dunia
Nami stress siwezi
(Oooh siwezi)
Bora nienjoy!
Maisha mafupi ni simple
Ya nini niteseke roho? (Ya nini niteseke roho?)
Jiunge nami upoze koo (Jiunge nami wee)
Bora nienjoy!
Maisha mafupi ni simple
Ya nini niteseke roho? (Yanini yanini?)
Jiunge nami upoze koo
Kama kupenda
Bora nimpende mama yangu (Mmmh)
Kama kupendwa mimi
Nitajipenda peke yangu
Ooooh!
Kilichomponza ufala
Kujiona simba kumbe swara
Kazama kwenye penzi utwara
Badala ya kusaka miamala
Aiyooooo!
Toka nidate pesa (Enhee)
Sasa napendeza (Enhee)
Na tena naenjoy (Enhee)
Na wanangu ma-homeboy (Enhee)
Ooooh akaunti inasoma (Enhee)
Na ka mwili kananona (Enhee)
We mwenyewe si unaona
Aiiii nasema bora
Bora nienjoy!
Maisha mafupi ni simple
Ya nini niteseke roho? (Ya nini niteseke roho?)
Jiunge nami upoze koo (Jiunge nami wee)
Bora nienjoy!
Maisha mafupi ni simple
Ya nini niteseke roho? (Yanini yanini?)
Jiunge nami upoze koo (Jiunge na mimi)
Napenda nikilewa
Nipande juu ya meza
Minjonjoko
Natema kingereza
Tupande juu ya meza
Tupande juu ya meza
Tupande juu ya meza
Za! Za! Za! Za!
Bora nienjoy!
Maisha mafupi ni simple
Ya nini niteseke roho? (Yanini yanini?)
Jiunge nami upoze koo (Ooh ooh ooh ooh)
(Kamix Lizer)
